Dimbwi la Damu - Ben R Mtobwa - Books - East African Educational Publishers - 9789966561541 - May 16, 1984
In case cover and title do not match, the title is correct

Dimbwi la Damu

Ben R Mtobwa

Price
S$ 35.50

Ordered from remote warehouse

Expected delivery Nov 21 - Dec 4
Add to your iMusic wish list

Dimbwi la Damu

Alipoamua kwenda Kigoma, Joram Kiango alitarajia kupumzika, akiburudishwa na mandhari murua ya Ziwa Tanganyika lakini haikuwa hivyo. Likizo yake ilibadilika ghafla huku maisha yake yakiingia katika utata mkubwa.

Katika jitihada za kutatua utata huo, Joram Kiango anakabiliana uso kwa uso na mjumbe wa mauti, mwenye kiu kali cha damu na anayesheheni silaha zote. Mjumbe ambaye yuko tayari kwa lolote; tayari kufa, tayari kuua...

Media Books     Paperback Book   (Book with soft cover and glued back)
Released May 16, 1984
ISBN13 9789966561541
Publishers East African Educational Publishers
Pages 104
Dimensions 127 × 178 × 7 mm   ·   86 g
Language Swahili  

Show all

More by Ben R Mtobwa